UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
Wafanyakazi wa Serikali, mashirika, taasisi na wananchi wamejumuika wilayani Kasulu katika zoezi la kuchangia damu ikiwa leo ni maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa. Mgeni rasmi katika sherehe hizi za miaka 77 ya 🇺🇳 ni Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Col. Isack Mwakisu. #UNDay https://t.co/2Cfmn4nOTg
Metadata
Published to Twitter on: 24/10/2022
Archived on: 22/11/2022
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1584506143400787968