UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
Maadhimisho ya miaka 77 ya Umoja wa Mataifa yanafanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Maadhimisho haya yanatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa serikali, wakuu wa taasisi za Umoja wa Mataifa na Tanzania pamoja na mabalozi. #UNDay2022 https://t.co/vW7CK0LGLd
Metadata
Published to Twitter on: 24/10/2022
Archived on: 22/11/2022
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1584436715313594369