Duke Mwancha

@Duke_Mwancha

Passionate about . Former Public Info Officer at in Nairobi. Former Spokesperson & worker in Kenya's camps.

Iscritto a ottobre 2009

Tweet

Hai bloccato @Duke_Mwancha

Vuoi davvero vedere questi Tweet? Procedendo non sbloccherai @Duke_Mwancha

  1. ha ritwittato
    23 giu

    ▫️Kunyang'anywa mali 💰 ▫️Kulazimishwa kuolewa na ndugu wa mume👰🏼👰🏾 ▫️Kufukuzwa makwao🏚️ ▫️Kufanyiwa ukatili na hata kuuwawa... Baadhi ya madhila wapitiayo wajane wengi. Leo Siku ya Wajane tuhakikishe wanapewa haki na kulindwa.

    Annulla
  2. ha ritwittato
    9 giu

    Congratulations to the organisers of for a successful event. Such a noble idea lending the platform to different voices in the refugee programme. Good work to the curators and

    Annulla
  3. ha ritwittato
    6 giu

    My name is Pur, and I am an athlete and a . I am giving my first talk this Saturday, 9 June, at a very special place - Kakuma Refugee Camp. I hope you will join me at 10am (EAT) to watch the event live here:

    Annulla
  4. ha ritwittato
    31 mag

    yaanzisha viza maalum ya kuchochea wahamiaji wenye ujuzi.

    Annulla
  5. ha ritwittato
    30 mag

    Host community members & planted 180 hectares of sorghum in . Not an easy feat in semi-arid County but with support from and food security has been enhanced

    Annulla
  6. ha ritwittato
    28 mag

    Tukielekea Siku ya Walinda Amani Mei 29, anawashukuru kwa mchango na kujitoa kwao & kutoa heshima kwa wale waliopoteza maisha kwa ajili ya amani. 👇Fahamu zaidi kuhusu kazi zao: http: // ... # PK70

    Annulla
  7. ha ritwittato
    27 mag

    Je! wawezaje leo kutoa mchango wako katika ulinzi wa mazingira?. Kutumia usafiri wa baisikeli ni moja ya hatua ambayo unaweza kuchukua ili kuboresha mazingira katika jiji lako:

    Annulla
  8. ha ritwittato
    26 mag

    - the world’s first TED event in a refugee camp - takes place 9 June under a tent at a school, before an audience of refugees + guests from Kenya and beyond. You can join too - here’s how:

    Annulla
  9. ha ritwittato
    26 mag

    "Tutangaze kwa sauti moja: Hatutaweza kuvumilia mtu yeyote anaefanya au kuidhinisha unyanyasaji na ukatili wa kingono chini ya bendera ya Umoja wa Mataifa. "

    Annulla
  10. ha ritwittato
    24 mag

    Hasara ya kipato kutokana na VVU na UKIMWI yatarajiwa kufikia dola bilioni 7.2 mwaka 2020. Sababu kubwa inatokana na kutokuzuia maambukizi ya VVU kwa maelfu ya wafanyakazi. Soma ripoti mpya kutoka @ ILO:

    Annulla
  11. ha ritwittato
    24 mag

    Hadi Mei 21, taarifa za nchini 🇨🇩 ni kama ifuatavyo: Visa 28 vimethibitishwa Visa 21 vina mwelekeo Visa 9 vyasadikiwa Jumla ya visa 58 vimeripotiwa ikijumuisha vifo 27. Via

    Annulla
  12. ha ritwittato
    23 mag

    Namkumbusha mama anawe mikono kabla ya kupika. Mwanafunzi kutoka azungumzia kampeni ya kudhibiti inayoendeshwa na wahudumu kwa jamii.

    Annulla
  13. ha ritwittato
    23 mag

    Baada ya matibabu ya Fistula, kinachofuata ni uwezeshaji wa waliopona ili washiriki kikamilifu katika jamii. Leo Mei 23 Siku ya Kutokomeza Fistula angalia matunda ya stadi walizopewa waathirika baada ya kupona ugonjwa huo nchini

    Annulla
  14. ha ritwittato
    24 mag

    "Upokonyaji silaha unazuia & kutokomeza mgogoro. Upokonyaji silaha unaunga mkono maendeleo endelevu. Upokonyaji silaha unalingana na maadili na kanuni zetu. Hii ndio sababu ninawasilisha ajenda hii ya upokonyaji silaha leo hapa." -

    Annulla
  15. ha ritwittato
    19 mag

    Afya ni haki ya binadamu. inachagiza afya na hali njema kwa kila mmoja, kila mahali. Fahamu zaidi 👉

    Annulla
  16. ha ritwittato
    17 mag

    Teknolojia ya mwanga hutupa njia fanisi na mbadala zinazoweza kutusaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi na kukidhi mahitaji ya nishati kwa kutupa nishati na kupunguza matumizi ya nishati. Fahamu uwezo wa mwanga ktk kwenye 🎆

    Annulla
  17. ha ritwittato
    16 mag

    Human rights are for everyone – no matter who you are or whom you love. Thursday is Int'l Day against Homophobia, Transphobia & Biphobia

    Annulla
  18. ha ritwittato
    15 mag

    Climate change is still moving faster than we are. Pleased that the R20 Austrian summit is raising ambition for climate action.

    Annulla
  19. ha ritwittato
    15 mag

    Join the world’s first ever TEDx event from a refugee camp! Watch live on 9 June

    Annulla
  20. ha ritwittato
    16 mag

    President has signed the Computer Misuse and Cybercrimes Bill, 2018, into law.

    Annulla

Il caricamento sembra essere lento.

Twitter potrebbe essere sovraccarico o avere un problema temporaneo. Riprova o visita Twitter Status per ulteriori informazioni.

    Potrebbero piacerti

    ·